Watu wengi walikuwa na shauku ya kutaka kusikia Jux atajibu vipi kuhusu tuhuma za Young Killer.Alipoulizwa kuhusiana na mstari huo wa Young Killer kwenye kipindi cha Planet Bongo kupitia East Africa radio,Jux alisema haoni sababu ya kuuzungumzia mstari huo kwani anaona ni ujinga.
“Hiyo ishu ya Msodoki siwezi kujibu,sio kitu cha mimi kukijibu.Naona ni kitu cha kijinga” alisema Jux akijibu maswali yaliyoulizwa na mashabiki kupitia kipindi hicho.
Source:EA Radio
Post a Comment