RayMond amesema kuwa kadri alivyokuwa akifanya kazi na Diamond kwa kutoa mawazo yake ndipo Diamond alipoona kuwa yeye anaweza hivyo kumwomba Babu Tale amsadie kwa kuwa Tip Top kuna wasanii wengi.
“Diamond alimwambia Tale kwamba anataka kunisaidia,kwa sababu Tip Top kuna wasanii wengi,na WCB kuna msanii mmoja ambaye ni Harmonizer,kwa hiyo aliamua kunichukua kwa sababu aliona nina kitu”
Post a Comment