Kundi linaloundwa na Aika na Nahreel ‘Navy Kenzo’ limeweka wazi kuwa album yao mpya ya Above in A Minute ina collabo kali za kimataifa.
Navy Kenzo wanasema “Tuna collabo na Alikiba, tuna collabo na Patoranking, tuna collabo na R2Bees kutokana Ghana, tuna collabo na Jesse Jagz kutoka Nigeria,”
Hongera kwa Navy Kenzo ambao kwa sasa wanajipanga kuanza ziara ya muziki Nigeria na Uingereza.
Post a Comment