Tamasha la Jembeka Festival 2016 lililofanyika Jumamosi hii mkoni Mwanza lilijaa surprise kwani msanii kutoka Marekani, Ne-Yo na Diamond waliwaonjesha mashabiki wao kolabo yao ambayo inarajia kutoka hivi karibuni.
Diamond na Ne-Yo
Kabla ya Ne-Yo kumpandisha Diamond jukwanii, alianza kumsifia hali ambayo iliyonyesha ni jinsi gani anamkubali msanii huyo.
Diamond na Ne-Yo akiwa stejini
Haikuwa rahisi kuchukua video wala picha za show yake kutokana na uongozi wa Ne-Yo kukataza na kuweka ulinzi mkali kwa yeyote atayeonekana ameinua kamera juu.
Hata hivyo mashabiki ambao walikaa mbali na jukwaa waliweza kurekodi show hiyo kwa simu na kuanza kuzisambaza katika mitandao ya kijamii.
Post a Comment