May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya nguvu kwa watu wao wa Dodoma, show iliyopewa jina la ‘Colors of Afrika’
Tayari nimekusogezea picha 15 kutokea eneo la tukio…
Post a Comment